Zana za Ufuatiliaji Takwimu ya Utoaji Chanjo
Kiashiria Mchakato ni Nini?
Jinsi ya Kujaza Ripoti ya Chanjo ya Kila Mwezi
Jinsi ya Kubaini na Kuyapa Kipaumbele Matatizo ya Uchanjaji
Jinsi ya Kujaza Kadi ya Chanjo
Coverage monitoring chart
Print and use this template for a coverage monitoring chart
Jifunze jinsi chati ya ufuatiliaji wa ukubwa wa eno la utoaji wa chanjo inavyofuatilia utendaji wa kituo cha afya na kuwasaidia wafanyakazi kujua kirahisi kama wanaelekea kufikia malengo ya utoaji chanjo.