Zana za Ufuatiliaji Takwimu ya Utoaji Chanjo
Kiashiria Mchakato ni Nini?
Jinsi ya Kujaza Ripoti ya Chanjo ya Kila Mwezi
Jinsi ya Kubaini na Kuyapa Kipaumbele Matatizo ya Uchanjaji
Jinsi ya Kujaza Kadi ya Chanjo
IIP-Monitoring and Surveillance
How to collect and report data for monitoring and surveillance
Kiwango cha utoaji chanjo kinaonyesha asilimia ya walengwa ambao wamechanjwa. Kiwango cha kuacha chanjo kinaonyesha asilimia ya watoto wachanga ambao wamepata chanjo lakini hawajakamilisha mfululizo. Gundua jinsi ya kukokotoa zote.