Jinsi ya Kujaza Ripoti ya Chanjo ya Kila Mwezi
Kutumia Takwimu za Halijoto ili Kubaini Matatizo ya Kawaida ya Usimamizi wa Akiba
Jinsi ya Kufanya Hesabu ya Chanjo Zilizopo
Completing a Monthly Summary Report (without coverage rates)
Jinsi ya Kukokotoa Viwango vya Uharibifu wa Chanjo
Stock ledger
Tracks the vaccines and safe-injection equipment in stock
Kama umewahi kuishiwa kabisa, unajua jinsi inavyokuwa kutokuwa na chanjo unapozihitaji. Njia mojawapo ambayo kituo chako inaweza kutumia kuzuia kuishiwa kabisa ni kwa kuweka ripoti ya mwezi ya shehena ya uhakika.